AfyaKukanda mwili: Faida na hasara zakeTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfyaAngela Mdungu-Jokisch29.04.202429 Aprili 2024Ungana naye Angela Mdungu katika makala ya afya yako inayolitazama kwa kina suala zima la kukanda mwili, faida zake pamoja na athari za kiafya zinazoweza kumpata mtu kutokana na huduma hiyo.https://p.dw.com/p/4fJPBMatangazo