Jeshi la Israel limekanusha madai ya Palestina kuhusu miili ya Wapalestina kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja +++Mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la kimkakati (PEN PLUS) wa kupunguza magonjwa yasiyoambukiza umefanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika+++Viongozi wa kimataifa wamekusanyika nchini Kanada kwa mazungumzo ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki